Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Wakutana na Rais Wa Marekani Barack Obama na Mkewe Michelle Obama
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa
na mwenyeji wao Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle
wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya viongozi
wanaohudhuria Mkutano Mkuu wa 68 wa Umoja wa Mataifa jijini
New York. Picha kwa Hisani ya Rae Lynn Wargo wa Umoja wa Mataifa.
Comments