BENDI ya Jahazi Modern Taarab usiku wa kuamkia leo imefunika vilivyo
katika onyesho lao la nguvu lililofanyika ndani ya Ukumbi wa Taifa wa
Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.Shoo
kali kutoka kwa Mzee Yusuf na kundi lake ilizikonga nyoyo za mashabiki
na kuwaacha roho safi.PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL
Monday, September 09, 2013
BENDI YA JAHAZI MODERN TAARAB YAFUNIKA DAR LIVE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
*MV NEW MWANZA YAZINDULIWA RASMI*
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezindua meli ya kisasa MV New Mwanza, akibainisha kuwa ni uwekezaji wa kimkakati wa Serikali katika kui...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquil...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
1 comment:
Duuh!
Post a Comment