Ona Jinsi Majeshi ya MONUSCO Yanayoongozwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)Yalivyochakaza Ngome ya Kikundi cha Waasi cha M23
Mwanajeshi wa Jeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
MONUSCO yanayoongozwa na Wanajeshi Kutoka Jeshi la Wananchi
wa Tanzania(JWTZ)akiwa kwenye Mapigano ndani ya Kibati
Kazi ni moja tu, nayo ni Kongo kuwa huru, vijana shupavu wanawajibika
pichani ni Mwanajeshi wa Jeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
MONUSCO yanayoongozwa na Wanajeshi Kutoka Jeshi la Wananchi wa
Tanzania(JWTZ)akiwa kwenye Mapigano
Majeshi ya MONUSCO yanayoongozwa na Wanajeshi Kutoka Jeshi la
Wananchi wa Tanzania(JWTZ),yakidhibiti eneo la Kibati ilipokuwa
ngome ya M23.Picha Zote na Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa
Tanzania(JWTZ)-Upanga
Comments