Wednesday, September 25, 2013

Operesheni Kimbunga Awamu Ya Pili Yaanza

 Operesheni kimbunga phase two imeanza, na jana  Askari walikwenda kufanya Doria katika Mapori ya Kimisi kuangalia Kama wahamiaji haramu na mifugo Yao wamo.Pichani juu ni watoto wakiangalia Helcopter iliyotua katika eneo la Benako wakati polisi wakifanya Doria hiyo
Askari wa jeshi la polisi Mwijage akitoa somo la Uraia kwa watoto waliyokuja kuiangalia hapo benako wakati aw Doria ya kusaka wahamiaji haramu au illegal immigrants NA MIFUGO Yao katika pori la Kimisi Wilayani Ngara jana asubuhi

No comments:

RAIS SAMIA ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA

Tarehe 8 Agosti 2025, viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma vilikua kitovu cha shughuli nyingi wakati wa Maonesho ya Kitaifa na Kimataifa ya Nan...