Posted by
Vempin Media Tanzania
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
wakiwa na mwenyeji wao Rais Barack Obama wa Marekani na
mkewe Michelle wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa
heshima ya viongozi wanaohudhuria Mkutano Mkuu wa 68 wa
Umoja wa Mataifa jijini New York. (Picha kwa Hisani ya Rae
Lynn Wargo wa Umoja wa Mataifa).
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama Melinda
Gates wa Bill and Melinda Gates Foundation walipokutana
katika ofisi za Umoja wa Mataifa jijini New York leo. (Picha
na Freddy Maro)
Comments