HAFLA YA CHAKULA CHA USIKU YA TAASISI ISYO YA KISERIKALI YA BENJAMINI WILLIAM MKAPA


Mgeni rasmi akipiga picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya shughuli hii.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania  Mh. Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akitoa risala ya ufunguzi wa awamu ya pili ya  mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya Afya kwa wananchi wa Vijijini mwaka 2013-2018  katika halfa ya  chakula cha usiku kilichoandaliwa  na Taasisi ya Benjamin William Mkapa iliyofanyika  Serena Hoteli jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa Dkt.Ellen Senkoro  akitoa historia fupi wakati wa ufunguzi wa mpango mkakati wa Taasisi hiyo kwa mwaka 2013-2018 katika halfa ya  chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi hiyo na kuhudhuliwa wadau mbalimbali katika Hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania kulia  Mh. Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akifungua rasmi Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018  wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa  katika  halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa  na  Taasisi  hiyo katika Hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dkt.Ellen Senkoro.                              
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania  Mh. Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akikabidhi cheti cha shukrani kwa Bi .Mera Mathew Mkurugenzi wa Maendeleo wa Shirika la Irish  wakati wa ufunguzi wa  Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018  wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa  wakati wa hafla ya  chakula cha usiku kilichoandaliwa  na  Taasisi  hiyo katika Hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam. 

Rais Mstaafu wa awamu ya tatuTanzania  Mh. Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akikabidhi cheti cha shukrani kwa Bw .Jonson Mshana mwakilishi kutoka Banki M katika ufunguzi wa Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018  wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa   wakati  wa halfa ya chakula cha  usiku kilichoandaliwa  na Taasisi  hiyo katika Hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam. 
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania  Mh. Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akikabidhi  cheti cha shukrani kwa Bi .Rahel Sheiza Mkurugenzi Mipango wa  Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa  katika ufunguzi wa Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018    katika  wa halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa  na  Taasisi  hiyo  katika Hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Comments