WAJUMBE BARAZA KUU UVCCM KUTOKA TANZANIA BARA WAWASILI ZANZIBAR KUSHIRIKI KIKAO

Bandari ya Zanzibar
 Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu ya UVCCM ambao wamechanganyika na abiria wengine, wakiwa kwenye gati baada ya kushuka katika boti juzi jion
 Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoa Tanzania Bara wakitoka bandarini baada ya kuwasili mjini Zanzibar kwa ajili ya kikao cha Baraza hilo kilichofanyika jana, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui
 Baadhi yao wakisubiriana kabla ya kupanda mabasi maalum yaliyoletwa bandarini kuwabeba
 Wajumbe wakiwa katika mabasi
 Wajumbe wakiwasili Afisi Kuu ya UVCCM Zanzibar
 Baada ya wajumbe hao kushuka
Kikundi cga Bras Band cha UVCCM Zanzibar kikijifua kwa mazoezi kwa ajili ya mkutano wa Jana .Imetayarishwa na theNkoromo Blog

Comments