Afisa
Msadizi wa uhamasishaji Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
mkoani
Morogoro, Lidya Mandara akiwaPA MAELEZO warembo
wa Redds Miss Tanzania 2013 juu
ya bwawa la viboko na mamba lililopo
katika hifadhi hiyo wakati warembo hao
walipo tembelea hifadhi hiyo jana
ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa
ndani nchini.
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika hifadhi ya taifa Mikumi jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
(Picha na Mpigapicha wetu).
Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya Mikumi mkoani Morogoro, Tutendaga George akiwakawia warembo wa Redds Miss Tanzania 2013 walio tembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani kofia na CD zilizo na taarifa mbalimbali mbali za hifadhi hiyo ya taifa.
Comments