Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Donan Mmbando akielezea hali ya huduma za chanjo nchini katika hafla fupi ya kukabidhi gari aina ya ‘Toyota double Cabin’ kwa ajili ya huduma ya chanjo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo lenye thamani ya Sh. milioni 38 iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii jijini Dares Salaam leo.
Mwenyekiti wa halimashauri hiyo,Meckson Mwakipunga(aliyesimama) akiishukuru Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa msaada wa gari hilo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe,Crispin Meelana kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Dk. Gilibert Tarimo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Charles Pallangyo akizungumzia na waandishi wa habari leo katika hafla fupi ya kukabidhi gari aina ya ‘Toyota double Cabin’ kwa ajili ya huduma ya chanjo kwa Halimashauri ya Wilaya ya Busokelo lenye thamani ya Sh. milioni 38 jijini Dares Salaam leo.Kulia ni Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalumu), Profesa Mark Mwandosya
Mwenyekiti wa halimashauri hiyo,Meckson Mwakipunga akijaribu kuendesha gari walilopewa na Wizara ya Afya naUstawi wa Jamii leo jijini Dares Salaam.
Mwenyekiti wa halimashauri hiyo,Meckson Mwakipunga(aliyesimama) akiishukuru Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa msaada wa gari hilo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe,Crispin Meelana kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Dk. Gilibert Tarimo
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalumu), Profesa Mark Mwandosya wa pili (kulia mbele) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watu wakati hafla fupi ya kukabidhi gari aina ya ‘Toyota double Cabin’ kwa ajili ya huduma ya chanjo kwa Halimashauri ya Wilaya ya Busokelo lenye thamani ya Sh. milioni 38 jijini Dares Salaam leo.Picha zote na Magreth Kinabo –MAELEZO
Comments