Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kushoto) wakitazama
ngoma kutoka katika kikundi cha sanaa cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga Septemba 25, 2013.
Mheshimiwa Pinda anatarajiwa kufungua Kongamano la Uwekezaji la Kanda
ya Kaskazini Mjini Tanga Septemba 26, 2013.
Comments