Tuesday, May 04, 2010

Tsvangirai awasili kuhudhuria mkutano wa WEF


Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Shangirai akisalimiana na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Jenerali Mstaafu(RTD Gen.) Chimonyo mapema jana ( saa sita usiku) katika chumba maalum cha viongozi ( VIP)kilichoko Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.


Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Shangirai (katikati) akitoka nje ya chumba maalum cha viongozi (VIP) kilichopo Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana (saa sita usiku) kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe mhe. Adadi Rajabu.

(Picha na Anna Itenda wa Maelezo )

No comments:

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...