Tuesday, May 04, 2010

Mugabe ndani ya nyumba


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais Wa Zimbabwe Robert Mugabe Ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.Rais Mugabe yupo nchini kwa mazungumzo na Rais Jakaya Kikwete.

No comments:

BRELA: VIJANA RASIMISHENI VIKUNDI KUNUFAIKA NA FURSA ZA KIUCHUMI

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza wanafunzi na wahitimu wa Vyuo Vikuu Nchini kuanzisha, kujiunga na kurasimisha vi...