Trafiki akila uroda wa pikipiki


Mwendesha pikipiki akiwa amembeba askari wa usalama barabarani ambaye hajavaa kofia ya kujikinga na ajali kama walivyokutwa Kariakoo jijini Dar es Salaam jana. Picha na Silvan Kiwale.

Comments

Anonymous said…
nawajua hawa jamaa , ni mtu na mkewe. Je ni kosa kumpa lifti mkeo kama amemaliza kazi na anataka kurudi nyumbani?
Anonymous said…
hata kama ni mtu na mkewe kwanini trafiki asivae helmet, shurti ajikinge na ajali.
Anonymous said…
r6m14z0t93 w9v08x0w15 t1s08l2s50 c7b81a4n15 b0m05e1e66 r1z84i9x58