Saturday, September 12, 2009

Matata ya daftari la kudumu Pemba



Nihifadhi Khamis akilia kwa uchungu huku akimwomba amsaidie kupata haki yake ya kuandikishwa katika Daftari la kudumu la Wapiga kura jana katika kituo cha Kiuyu Minungwini jana, ambapo watu wengi walikwama kupatiwa haki hiyo kwa kukosa kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi (Picha na Salim Said)


Mzee Ali Nassor akilia kwa uchungu huku akimwomba amsaidie kupata haki yake ya kuandikishwa katika Daftari la kudumu la Wapiga kura jana katika kituo cha Kiuyu Minungwini jana, ambapo watu wengi walikwama kupatiwa haki hiyo kwa kukosa kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi (Picha na Salim Said)

No comments:

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AMALIZA ZIARA YA SIKU MOJA MKOANI MBEYA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), leo ameondoka Mkoani Mbeya baada ya kukamilisha zi...