Wafanyabiashara za mboga na matunda wa mji mdogo wa Soni Wilayani Lushoto wakiwa katika harakati za kuuza bidhaa zao, Soko hilo limejizolea umaarufu ambapo wasafiri wengi wanaiongia na kutoka katika Wilaya hiyo wamekuwa wakinufaika kwa kupata huduma hiyo.Picha ya mdau Burhani Yakub wa Tanga.
Comments