Skip to main content
Wafanyakazi wa kampuni ya MODSPAN ya Mjini Songea wakichimba mitaro jana katika moja ya barabara ili hospitali ya mkoa Ruvuma ambayo inajengwa kwa kiwango cha lami ambapo ni moja kati ya mitaa inayojengwa barabara kwa kiwango cha lami mjini Songea .
Comments