Tamasha la jinsia


Mgeni rasmi wa tamasha hilo kutoka chuo kikuu cha Makerere Uganda, Prof Silvia Tamale akijiachia vilivyo na msanii mghani wa mashairi, Irene Sanga leo mchana mara baada ya tamasha la jinsia kuzinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam.

Comments