Friday, September 04, 2009

Wewe acha utani....


Abiria wa Daladala wakigombana baada ya gari walilokuwa wamepanda kutokea Tegeta kwenda Mwenge kugongana kitika kituo cha samaki na kuhatarisha usalama wao jijini Dar es Salaam. Picha na Salhim Shao

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...