Monday, September 14, 2009

Mchungaji kizimbani kwa mauaji


Mchungaji wa kanisa la e Winners' Chapel, Denis Mlazi, akisindikizwa kuingia kwenye chumba cha mahakama ya Temeke leo akikabiliwa na mashtaka ya kumuua mkewe, Rosemary Munseri.

1 comment:

Anonymous said...

Mtu kama huyo hana haki ya kuishi duniani bora akapunzike mbeele ya haki manake fukifanya jema utalipwa jema sasa bas haki ipo kwa mungu duniani hakuna haki na malipo ya zambi kwasasa ni hapa hapa duniani mbinguni mabo mengine yata fuata

HESLB NA ADAPT IT ZAINGIA MAKUBALIANO RASMI

Dar es Salaam, Jumatatu, Disemba 08, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeingia katika hatua nyingine ya mageuzi ya k...