Thursday, September 10, 2009

Mercedes Benz E-Class lazinduliwa na DT Dobie Tz


Jokate Mwegelo msemaji wa Kampuni ya DT Dobie Tanzania akijaribu gari mpya aina ya Mercedes Benz E Class, Sehemu mapato ya mauzo ya gari hilo yatatumika katika kusaidia vituo mblalimbali vinavyohudumia watoto yatima ambao wazazi wao wamefariki kwa madhara ya UKIMWI. Kulia ni Meneja Biashara wa kampuni hiyo Wayne Mcintosh na katikati ni Marco Kahabi ambaye ni Meneja wa Tenda wa kampuni hiyo.

No comments:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ashiriki Kupiga Kura ya Maoni Jimbo la Ruangwa

  Ruangwa, Lindi – Agosti 4, 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) , ambaye pia ni aliyekuwa M...