Wednesday, June 03, 2009

Uopoaji maiti meli iliyozama Zanzibar bado wasuasua






Hali ya uokoaji wa meli ya Mv Fatih bado inaendelea katika hatua ya awali kama inavyonekana katika picha hiyo jinsi inavyovutwa na tagi kutoka Tanzania bara na Zanzibar, Mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange pia alikuwapo, kazi inaendelea lakini kwa sida saana, maiti nyingi zinaelezwa kukwama katika meli hiyo na zimeonwa na waopoaji picha na Haji Mtumwa, Zanzibar

1 comment:

Anonymous said...

my condolesence

WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI KUISHI FALSAFA ZA RAIS DKT. SAMIA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuz...