Wiki moja baada ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kutangaza kuanza kutoza ushuru kwa mashirika yote ya Dini wakati ikiwasilisha bajeti ya Mwaka 2009/10 bungeni mjini Dodoma na kuzua maswali mengi kutoka kwa Wabunge Leo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda ametangaza Rasmi kufuta ushuru Kwa madhehebu yote ya Dini na huo na kurejea kama Mwanzo.Mheshimiwa Waziri Mkuu ametangaza Uamuzi huo Mjini Dodoma jana kwa taarifa za kina hebu soma http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=2173
Comments