Vijana wa kundi zima la African Stars wana wa kutwanga na kupepeta wakiwa kazini wakiwajibika wakati wa uzinduzi wa albamu yao ya kumi ambayo uzinduzi wake ulifanyika Diamond Jubilee na kujaa watu kibao akiwamo Waziri wa Nchi ofisi ya Rais utawala bora, Sophia Simba ambaye yupo pichani.
Comments