Wednesday, June 17, 2009

Makamu wa Rais Dk Shein kuaga mwili wa Omar Bongo Gabon Leo




Askari wa Jeshi la Gabon wakisindikiza Jeneza lenye mwili wa Rais wa Gabon marehemu Omar Bongo aliyefariki Dunia tarehe 8 Juni 2009 Nchini Hispania alikokuwa akitibiwa kuelekea uwanja wa ndege wa Nchi hiyo ulipokua ukitokea Ikulu mjini Libreville ukipelekwa kijijini kwake kwa maziko kesho



Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha maombolezo Ikulu mjini Libreville Nchini Gabon kufuatia kifo cha Rais wa Nchi hiyo Marehemu Omar Bongo kilichotokea tarehe 8 Juni 2009 mjini Bacelona Hispania alikokuwa akitibiwa Marehemu Bongo anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwake Nchini Gabon. Picha zote za mdau Amour Nassor wa ofisi ya makamu wa rais


No comments:

JETOUR G700 YAJITOKEZA KWA UWEZO MKUBWA KWA MAZINGIRA YA AFRIKA

  Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam JETOUR Tanzania imezindua rasmi JETOUR Club pamoja na kutambulisha magari mapya ya JETOUR G700 na F700, i...