Baadhi ya wananchi wakijibebea mali mbali mbali katika nyumba za mbunge wa jimbo la vunjo, Alyoce Kimaro baada ya kuchoma nyumba zaidi ya 15 jana na kuzivunja. Nyumba hizo zipo katika eneo la Mandara Estate lililonunuliwa na mbunge huyo serikalini ili ajenge hoteli. picha zote na mussa juma
Comments