Wednesday, June 03, 2009

Uopoaji maiti meli iliyozama Zanzibar bado wasuasua






Hali ya uokoaji wa meli ya Mv Fatih bado inaendelea katika hatua ya awali kama inavyonekana katika picha hiyo jinsi inavyovutwa na tagi kutoka Tanzania bara na Zanzibar, Mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange pia alikuwapo, kazi inaendelea lakini kwa sida saana, maiti nyingi zinaelezwa kukwama katika meli hiyo na zimeonwa na waopoaji picha na Haji Mtumwa, Zanzibar

1 comment:

Anonymous said...

my condolesence

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA – PWANI

Pwani, Julai 31, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo ameweka jiwe la msingi kuashiria u...