Monday, June 22, 2009

nasma khamis afariki dunia


Mwimbaji mahiri na aliyewahi kutamba sana kwenye anga ya muziki wa taarabu hapa nchini,Bibie Nasma Khamis wa Kidogo (shoto pichani) amefariki dunia usiku wa kumkia leo, kutokana na taarifa ambazo si rasmi sana Jiachie imezipata zinaeleza kuwa msiba huo upo Kinondoni,Jijini Dar.Kwa habari kamili tega sikio hapa hapa Jamvini.
Nasma Khamis 'Kidogo' (shoto) enzi za uhai wake na Bi Khadija Omar Kopa wakila pozi pamoja. Malkia hawa wa taarab ya kisasa inayonakshiwa kwa mipasho, walikuwa ni wahasimu wakubwa jukwaani na marafiki wa karibu mitaani. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa http://michuzijr.blogspot.com/2009/06/nasma-khamis-afariki-dunia.html#comments

HESLB NA ADAPT IT ZAINGIA MAKUBALIANO RASMI

Dar es Salaam, Jumatatu, Disemba 08, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeingia katika hatua nyingine ya mageuzi ya k...