Sunday, June 07, 2009

Athari za mabomu ya Mbagala



Kama unavyoona moshi mkubwa ukitanda wakati wataalam wa Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ walipofanya kazi nyingine ya kutegua mabomu 11 jana kuanzia saa nne asubuhi watu kadhaa wamejeruhiwa na kupata mshituko na kukimbizwa katika Hospitali ya Temeke kwa Matibabu. soma kinagaubaga taarifa hapa
upate habari hizi kwa kina.

No comments:

KIKWETE ASEMA MFUKO WA UWEKEZAJI WA FAIDA WAKUA KWA KASI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wawekezaji wa Mfuko wa...