
Ngoma hii ndo atatinga nayo huyu George Kichaka Februari 16 mwaka huu, gari hii ni miongoni mwa magari ya kifahari sana duniani tunatarajia litakanyaka lami iliyopigwa deki na lazima wakuu wetu wannuswe sana na mbwa.
Hapa washikaji unaweza kuwaona kutoka kulia Danny Lyimo, Luwaga Kizoka, James Kapaya, Daudi Masoli na Mzee Gombo mvua ilikuwa imenyesha kinoma.
Yahya Charahani, Danny Lyimo na Luwaga Kizoka
Kumbukizi ya Wanafunzi wa Kidato cha Sita: Safari ya Kimasomo na Ukumbusho wa Walimu
Picha hii ni kumbukumbu adhimu ya jopo la wanafunzi wa kidato cha sita miaka hiyo, wakiwa pamoja na walimu waliowaongoza katika safari yao ya elimu.
Katika kundi hili, tunamuona Kamanda Albert Ballati, aliyesimama karibu na mwalimu aliyekuwa maarufu shuleni kwa jina la Mwalimu Nyanda, mwalimu wa Baiolojia aliyewahi kuwahamasisha wengi kufahamu na kupenda somo hilo.
Mbele kabisa katika picha hii, anaonekana Afande Warioba, mwanafunzi aliyekuwa na nidhamu kali na anayekumbukwa kwa msimamo wake thabiti. Ingawa wakati huo alionekana kuwa mkali kwa wenzake, ni wazi kwamba alichangia katika malezi ya kimaadili na nidhamu miongoni mwa wanafunzi wenzake. Hali hii inazua swali la wapi alipo sasa na ni njia gani aliyochukua baada ya kuhitimu elimu yake.
Picha kama hizi huamsha kumbukumbu za maisha ya shule, urafiki uliodumu, changamoto zilizokuwepo, na mafunzo yaliyopatikana darasani na nje ya darasa.
Ni ushahidi wa safari ya pamoja iliyowajenga wengi, ikiwemo mafunzo ya nidhamu, uvumilivu, na juhudi za kutafuta elimu kwa bidii. Bila shaka, kwa waliokuwepo enzi hizo, hii ni kumbukumbu ya nyakati ambazo hazitasahaulika. Hapa ni langoni mwa Tabora boys high school, ukiwa unaingia hapa lazima uingien kikakamavu.
Na Sixmund Begashe - Serengeti Ziara ya kikazi ya watafiti wa mimea vamizi kutoka Jamhuri ya Cuba walioungana na wataalam wa ikolojia kutok...