Sunday, August 14, 2011

Pinda azindua ujenzi wa nyumba NHC


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe alipokuwa akizindua ujenzi wa nyumba za makazi za Medeli, mjini Dodoma juzi. Kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijika (kulia kwake) Naibu Waziri wa Ardhi, Goodluck Ole Medeye (aliyevaa kofia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu (kushoto) baada ya kutoka kutazama nyumba mpya zilizojengwa na shirika hilo katika uzinduzi wa wa ujenzi wa nyumba za makazi za Medeli, mjini Dodoma juzi. Kulia ni Spika wa Bunge Mama Anne Makinda.




No comments:

TANZANIA IMEJENGWA KWA MISINGI IMARA YA AMANI NA UZALENDO-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi imara ya amani, uzalendo na maadili mema ambayo yameasisiwa na vion...