Monday, August 08, 2011

Kilele cha Nane Nane


Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Jain Irrigation System ya India kuhusu umwagiliaji wa matone wenya gharama nafuu kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, Nane Nane katika viwanja vya Nzuguni, Manispaa ya Dodoma leo (Picha na Issa Sabuni, WKCU)

No comments:

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...