Thursday, August 04, 2011

mke wa rais wa burundi aanza ziara ya siku sita nchini leo



Mke wa Rais wa Burundi Mama Denise Bucumi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari katika Ofisi za Taasisi ya WAMA jijini Dar es Salaam leo baada ya kufanya mazugumzo na Mwenyeji wake mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kulia), Mke huyo wa Rais wa Burundi atakuwa na ziara ya siku sita nchini. Picha zote za Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO

No comments:

SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kufany...