Sunday, August 07, 2011

Baa la njaa laanza kusumbua nchini


Msije mkala mkasaza na kisha mkamwaga mjue kuna wenzenu huko Tanzania hii hii wanakabilia na njaa kali hebu angali wakazi wa Kitongoji cha Kilimahewa Kata ya Endiamtu Wilayani Simanjiro mkoani Manyara wenye upungufu wa chakula wakipokea mahindi ya msaada kutoka Serikalini. Picha na Joseph Lyimo.

No comments:

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...