Wakazi wa Manispaa ya Morogoro wakiangalia ndege aina ya mbuni katika banda la Halmashauri ya mji mdogo wa Kibaha katika maonyesho ya wakulima kanda ya mashariki uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere Nanenane ambayo yanafikia kilele chake leo mkoani hapa. Picha za Juma Mtanda
Comments