Friday, November 25, 2016

MAMENEJA WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA WATOA MISAADA KWA WAGONJWA TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD

Kiongozi wa Mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa waliomaliza mafunzo ya Uongozi yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi ya NHC akijadiliana jambo na wenzake wakati wakielekea  kwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali pamoja na fedha katika taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuwasaidia baadhi ya wagonjwa waliopo katika hospitali hiyo misaada hiyo ilitolewa kwa wagonjwa wa wodi zote ili kuweza kuwasaidia katika masuala yao mbalimbali.
Baadhi ya Mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa waliomaliza mafunzo ya Uongozi yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi ya NHC wakibeba bidhaa mbalimbali kwajili ya kwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali pamoja na fedha katika taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuwasaidia baadhi ya wagonjwa waliopo katika hospitali hiyo misaada hiyo ilitolewa kwa wagonjwa wa wodi zote ili kuweza kuwasaidia katika masuala yao mbalimbali.

 Baadhi ya Mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa waliomaliza mafunzo ya Uongozi yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi ya NHC a na fedha katika taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuwasaidia baadhi ya wagonjwa waliopo katika hospitali hiyo misaada hiyo ilitolewa kwa wagonjwa wa wodi zote ili kuweza kuwasaidia katika masuala yao mbalimbali.

Post a Comment