Thursday, November 24, 2016

MAFUNZO YA UONGOZI KWA MAMENEJA WA NHC YAENDELEA

Mshauri Mwelekezi wa Mafunzo ya Rasilimaliwatu, Omari Mahinya akizungumza na Mameneja wa Shirika ambao wapo katika mafuzo ya Uongozi yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi ya NHC yanayotarajiwa kuchukua miaka mitatu yenye lengo la kuboresha utendaji na utekelezaji wa malengo ya Shirika kwa ufanisi unaopaswa.

Mameneja wa Shirika ambao wapo katika mafuzo ya Uongozi yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi ya NHC yanayotarajiwa kuchukua miaka mitatu yenye lengo la kuboresha utendaji na utekelezaji wa malengo ya Shirika kwa ufanisi unaopaswa wakiwa katika picha ya pamoja.
  Baadhi ya Mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa ambao wapo katika mafuzo ya Uongozi yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi ya NHC yanayotarajiwa kuchukua miaka mitatu yenye lengo la kuboresha utendaji na utekelezaji wa malengo ya Shirika kwa ufanisi unaopaswa.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...