Wednesday, November 09, 2016

MHE SPIKA AKUTANA NAA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA OFISINI MJINI DODOMA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Wakwanza kulia ni Bw. Blevin Claude Afisa wa Ubalozi huo.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak wakati akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akimueleza jambo Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akiagana  na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak mara baada ya kuzugumza naye  Ofisini kwake Mjini Dodoma.

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...