Waziri
mkuu, Mizengo Pinda akiwasha moja ya mtambo wa kutengeneza dawa wakati
alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals
cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2, 2012. Kulia
kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Mansoor Daya. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua utengenezaji dawa za binadamu wakati
alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Chemicals
Limited cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50, Oktoba 2, 2012.
Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Mansoor
Daya.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bwana Mansoor Daya (kulia kwake ) na
familia yake baada ya kutembelea na kuzungumza wafanyakazi na
waalikwa wa kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals
Limited cha jijijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2,
2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment