Friday, October 05, 2012

KINYANG'ANYIRO TAJI LA REDD'S MISS TANZANIA 2012

 
DIANA HUSSEIN amepata namba ya ushirtiki 20, akitokea kitongoji cha Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.



ANANDE RAPHAEL ni mshiriki namba 11 akitokea Mkoa wa Kilimanjaro akiwakilisha Kanda ya Kaskazini.
 
BABYLOVE KALALA ni Mshiriki na 9 akitokea mkoa wa Kagera, akiwakilisha Kanda ya Ziwa.
 
CAREN  ELIAS mshiriki 23 anatokea Mbeya anawakilisha Nyanda za Juu Kusini
 
CATHERINE MASUMBIGANA ni mshiriki na 15 akitokea Kitongoji cha Chang'ombe anawakilisha kanda uya Temeke jijini Dar es Salaam.
 PICHA ZOTE ZA FATHER KIDEVU waweza mcheki kwa kuchukua address chini hapa.
http://mrokim.blogspot.com/2012/10/washiriki-redds-miss-tanzania-2012_5.html

No comments:

Benki ya CRDB yaanza kutoa mikopo ya ada shule za msingi, sekondari

  Dar es Salaam. Tarehe 7 Januari 2025: Katika kuukaribisha mwaka mpya 2025, Benki ya CRDB imezindua mikopo ya ada kwa wanafunzi wa shule...