Taarifa zilizotufikia hivi
punde kutoka RADIO ONE ni kwamba kuna vurugu zinaendelea eneo la Mbagala Kizuiani ambapo
baadhi ya Waislamu wameandamana kupinga kitendo cha kijana mmoja
kukojolea Quran.
Kwa
sasa mabomu ya machozi yanapigwa ili kuwatawanya waandamanaji hao ambao
wamezingira kituo cha Polisi wakitaka kijana huyo atolewa la sivyo
watakichoma moto kituo hicho.
No comments:
Post a Comment