Sunday, October 07, 2012

Aggrey Marealle achanguliwa Mjumbe wa NEC Moshi Mjini


Kada wa Chama cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro, Agrey Mareale jana amechaguliwa kuwa Mjkumbe wa NEC kutoka Wilaya ya Moshi mjini Mkoani Kilimajaro.Mareale amemwangusha mpinzani wake katika nafasi hiyo Buni Ramole. Aidha katika uchaguzi huo pia ulimchagua Bi. Elizabeth Minde kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya Moshi Mjini.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...