Wednesday, October 03, 2012

Maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani

 Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakiburudisha  kwenye maadhimisho ya siku ya makazi duniani yaliyobebwa na kauli mbiu isemayo “Mabadiliko ya miji na fursa za maendeleo”. kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa ujenzi Injinia Gerson Lwenge akitoa hotuba kwenye maadhimisho ya siku ya makazi duniani yaliyobebwa na kauli mbiu isemayo “Mabadiliko ya miji na fursa za maendeleo”. kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Kilele cha maadhimisho hayo kilikuwa Oktoba Mosi. Picha zote kwa Hisani ya Emmanuel Herman.

No comments:

Ujumbe wa DRC watoa msaada kituo cha wakimbizi NMC - Kigoma

  Waziri wa Nchi, anayeshughulikia  Masuala ya Ustawi wa Jamii, Hatua za Kibinadamu na Mshikamano kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (D...