Tuesday, October 02, 2012

RICK ROSS KUWASILI ALHAMISI WIKI HII KAA MKAO WA KULA

 
MSANII RICK ROSS ANAYETARAJIWA KUWASILI SIKU YA ALHAMISI WIKI HII TAYARI KUWABURUDISHA MASHABIKI WA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2012  “BHAAAASSS” LITAKALOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ESSALAAM SIKU YA JUMAMOSI WIKI HII
 

RICK ROSS (Picha na John Bukuku)

No comments:

Benki ya CRDB yaanza kutoa mikopo ya ada shule za msingi, sekondari

  Dar es Salaam. Tarehe 7 Januari 2025: Katika kuukaribisha mwaka mpya 2025, Benki ya CRDB imezindua mikopo ya ada kwa wanafunzi wa shule...