Wednesday, October 03, 2012

Basi la Dar Express Lawaka Moto Njia Panda ya Dar,Arusha,Tanga(Segera)

Basi la  Dar Express limepata ajali ya kuungua moto jana asubuhi katika njia panda ya Dar, Arusha, Tanga (Segera) hakuna mtu aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha. Katika ajali hiyo mizigo yote iliteketea kwa moto huo ambapo abiria wengi waliokuwamo kwenye gari hilo walikuwa ni wanafuzi. Picha na Samweli Mikuza

No comments:

Ujumbe wa DRC watoa msaada kituo cha wakimbizi NMC - Kigoma

  Waziri wa Nchi, anayeshughulikia  Masuala ya Ustawi wa Jamii, Hatua za Kibinadamu na Mshikamano kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (D...