Tuesday, October 09, 2012

WAREMBO WA REDD'S MISS TANZANIA WATEMBELEA MLIMA KILIMANJARO


 Baadhi ya Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2012 wakizungumza na baadhi ya wabeba Mizigo ya Watalii mbali mbali waliofika kwenye Lango kuu la Kupanda Mlima Kilimanjari,lililopo Marangu Mkoani Kilimanjaro.Warembo hawa wametembelea eneo hilo la Mwanzo wa Mlima Kilimanjaro uliopo Marangu mapema leo asubuhi kwa ajili ya kujifunza mambo mbali mbali ya utalii wa ndani.

 

  Afisa Msaidizi wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akitoa maelezo kwa Warembo wanaowania Taji la Redd's Miss Tanzania 2012,juu ya Utaratibu wa Upandaji Upandaji wa Mlima Kilimanjaro.Warembo hawa wametembelea eneo hilo la Mwanzo wa Mlima Kilimanjaro uliopo Marangu mapema leo asubuhi kwa ajili ya kujifunza mambo mbali mbali ya utalii wa ndani.

No comments:

Waziri Kombo akutana na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Umoja wa Afrika

   Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa U...