
Kiungo
Machachari wa Timu ya Yanga,Haroun Niyonzima akijaribu kutaka
kumtoka,Shomari Kapombe wa Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa
ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara unaoendelea kuchezwa hivi sasa katika
uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.Kipindi cha kwanza kilimalizika huku
Simba wakiongoza kwa bao 1-1 lililofungwa na Mchezaji Amri Kiemba. Yanga
wakasawazisha kwa njia ya Penati kupitia kwa Mchgezaji Bahanuzi.
No comments:
Post a Comment