Mc wa shughuli kamanda Prudence Kahatano akikaribisha wadau na kufungua mkutano
Mgeni
kutoka Tanzania Mh. Ezekiel Wenje akimwaga sera wakati wa mkutano wa
CHADEMA UK uliyo fanyika jini London mwaishioni mwa mwaiki iliyopita.
Mgeni mwingine kutoka Tanzania kamanda Makelele katibu mwenezi CHADEMA Moshi akimwaga sera.
Katibu Mkuu wa Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) akiongea machache
High Table
Makamanda wakifuatilia mkutano kwa makini
Makamu Katibu Mwenezi wa CHADEMA UK Dr. John Lusingu akimwaga sera zake na kutoa hoja zake
Mkutano ukiendelea
No comments:
Post a Comment