Mwenyekiti mpya wa UWT Sophia Simba akipongezwa na mke wa Rais wa Zanzibar mama Mwanamwema Shein baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi wa UWT usiku wa kuamkia leo
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akitoa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma na kumchangua Mwenyekiti Mpya Sophia Simba
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UWT wakishangilia bbaada ya kutangazwa jina la Mwenyekiti mpya wa Umoja huo Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Asha Bakari katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma usiku wa kuakia leo
MWENYEKITI wa UWT Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Mwenyekiti Mhe.Asha Bakari Khamis, wakiwa na furaha baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi mkuu wa umoja huo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
VIONGOZI wa meza kuu wakishangilia baada ya kuitolewa matokeo ya kura za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa UWT, baada ya uchaguzi kufanyika kuwachagua Viongozi hao.
No comments:
Post a Comment