Flora
Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha wakitambulishwa kwa mashabiki wao
lukuki kwenye onesho lao mjini Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo ambako walivunja rekodi kwa wingi wa mashabiki
Kina Ras Makunja wa DRC ilibidi waletwe kuhakikisha ulinzi ni wa kutosha
Flora na mumewe wakifanya vitu vyao kwa furaha
Flora na mumewe wakisindikizwa hotelini kwao
Msafara kuelekea kwenye onesho
Ulinzi kwa Emmanuel Mbasha
No comments:
Post a Comment