MASKINI AMANI YETU VIASHIRIA VYA KUIPOTEZA VINAZIDI KUJITOKEZA TUOMBE MUNGU SAANA TUSIIPOTEZE IKIPOTEA TUMEUMIA. HII SIYO DALILI NJEMA KABISA.
Pichani
ni Jeshi la Wananchi Tanzania likiwasilia maeneo ya Kariakoo kuongezea
nguvu kwa ajili ya kutuliza ghasia. (Picha hii imepigwa na mdau Mpeli Jr Ngonywike kupitia mtandao wa facebook alipopiga picha hii kwa kujificha.
Baadhi
ya waumini wanaodaiwa kutoka kikundi cha dini ya kiislamu wakidhibitiwa
eneo la jirani na geti la Ikulu..mapema leo ambapo jumla ya watu 6,
walikamatwa.(Picha na Andrew Chale).
Pichani ni maeneo ya Kariakoo magari ya jeshi JWTZ zaidi ya 8 yakiwa katika doria maeneo ya Kariakoo.
Pichani ni Vipeperushi vilivyotolewa na Waumini wa Dini ya Kiislamu kabla ya maandamano leo.
No comments:
Post a Comment